Social Icons

Monday, November 8, 2010

RATIBA YA BUNGE YATOLEWA


Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilia akiongea na wanahabari katika ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kuhusu shughuli za bunge ambazo zitaanza leo 8-17/11/2010.


MPANGILIO WA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE

TAREHE 8 - 17 NOVEMBA 2010

JUMATATU 08 Novemba, 2010
Tangazo la Rais Kuitisha Bunge

JUMANNE 09 Novemba, 2010
* Wabunge kuelekea Dodoma
* Kusajili Wabunge Wateule Dodoma

JUMATANO 10 Novemba, 2010
Usajili kuendelea Dodoma - Katibu wa Bunge

ALHAMISI 11 Novemba, 2010
Saa 4.00 Asubuhi
* Mikutano ya Kamati za Vyama vya Siasa
* Kikao cha Briefing UKUMBI WA BUNGE

Saa 10.00 Jioni
Kupokea majina ya wagombea Uspika (Nomination day)

IJUMAA 12 Novemba, 2010
* Mkutano wa Bunge wa Kwanza.
* Kikao cha Kwanza kuanza kwa kusomwa Tangazo la Rais la kuitisha Bunge
* Uchaguzi wa Spika.
* Kiapo cha Spika.
* Wimbo wa Taifa na Dua
* Kiapo cha Utii kwa Wabunge Wote.

JUMAMOSI ASUBUHI 13 Novemba, 2010
Wabunge kuendelea Kuapishwa

JUMATATU 15 Novemba, 2010
Wabunge kuendelea Kuapishwa

JUMANNE 16 Novemba, 2010 Asubuhi
Wabunge kuendelea Kuapishwa

Mchana
* Kuthibitisha Jina la Waziri Mkuu
* Waziri Mkuu kutoa Neno la Shukrani
* Uchaguzi wa NAIBU SPIKA

JUMATANO 17 Novemba, 2010
Asubuhi
Waziri Mkuu Kuapishwa IKULU -CHAMWINO

10. Saa 10.00 Jioni
RAIS KULIHUTUBIA BUNGE UKUMBI WA BUNGE

NENO LA SHUKRANI - WAZIRI MKUU

HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE

USIKU Tafrija ya Rais kwa Wabunge wote Viwanja vya Bunge

* ENDAPO ITAKUWA SIKUKUU TAREHE 15 AU 16 NOVEMBA, 2010 BUNGE LITASITISHA SHUGHULI ZAKE HADI SIKU INAYOFUATA.



OFISI YA BUNGE

S.L.P. 9133

DAR ES SALAAM

8 Novemba, 2010

0 comments: