Mwanamuziki wa kizazi kipya Diamond, akiimba kwa hisia kali katika moja ya maonesho yake ya muziki yanayoendelea nchini Uingereza. Kwa mujibu wa waandaji wa ziara hiyo, Urban Pulse Creative, Jumamosi iliyopita msanii huyo alikuwa akifanya shoo yake ya kwanza mjini Milton Keynes na jumamosi ijayo atakuwa Croydon London
nyomi iliyohudhuria shoo ya Diamond wikiendi iliyopita.
0 comments:
Post a Comment