CABO SNOOP AACHA GUMZO DAR!!Miss Tanzania namba tatu 2007 Jokate Mwegelo (kushoto), akiwa katika pozi na Msanii kutoka Angola Cabo Snoop, katika Viwanja vya Leaders, Oktoba 9 mwaka huu.
Msanii kutoka nchini Angola Cabo Snoop, juzikati aliacha gumzo kwa mashabiki wake baada ya kufanya shoo ya aina yake katika tamasha lililokwenda kwa jina la Family Day Bonanza lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam,
Katika tamasha hilo pia waliweza kukamua wasanii kibao kutoka hapa nchini akiwemo Diamond, Bob Junior, Godzilla, Adam Mchovu, Dogo Janja, Asley, Barnaba, Linah.
Mkurungenzi wa miradi na Mipango wa Clouds Media Ruge Mutahaba (kulia), akiwa katika pozi na Cabo Snoop.

0 comments:
Post a Comment