SEMINA YA KWAHERI UMASIKINI, KARIBU TUJIKOMBOE, YAFANA VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII LEO Mratibu wa semina hiyo, Mahmoud Omar (aliyesimama), akitoa somo kwa wadau waliohudhuria
KAMPUNI ya Dimond Integrated Solution and Awareness, iliyoandaa Tamasha kubwa linalokwenda kwa jina la Kwaheri Umasikini, karibu tujikomboe, liliilokuwa lilkutanisha watu zaidi ya elfu mbili katika Viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Leo limeanza katika viwanja hivyo ambapo watu mbalimbali wamehudhulia na kupata mafunzo ya Ujasiriamali yaliyokuwa yakitolewa mahali hapo.
Mkurugenzi mwandamizi wa kampuni hiyo DK. Didas (aliyesimama), akifafanua moja ya jambo katika semina hiyo.
Mmoja wa washiriki wa semina hiyo akinyoosha mkono kuuliza swali kwa mwelimishaji wa semina hiyo.Baadhi ya wanasemina waliyofika mahali hapo wakifatialia kwa makiniWadau wakichukua mafunzo mahli hapo.
0 comments:
Post a Comment