MISS ILALA ANAYETAMANI MAMBO YA MODEL
DIANA John ni mrembo ambaye nyota yake imeanza kung'ara mwaka huu liposhiriki kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka miss Dar City Centre hatimaye kuizama hadi Miss Ilala 2011, mrembo huyu ana umri wa miaka 21 na kabila lake ni mrangikutoka pande za Singida ana elimu ya kidato cha nne,anapendelea sana msosi aina ya makande,katika upande wa burudani maranyingi huwa anapenda kucheza muziki na katika kujinafasi zaidi siku zote utampata sehemu za fukwe akiogelea japo hawezi kuogelea vizuri, Matarajio yake kwa sasa ni kujiendeleza kielimu zaidi ingawa akipata tenda ya mambo ya u-model hawezi kuacha kupiga mzigo.
1 comments:
Binti kweli we ni mzuri sio siri.
Nimekuzimikia. naomba tuwasiliane
katika e -mail
addypetros@hotmail.com
nina nia na mipango mizuri na wewe. You wont believe.
Post a Comment