Social Icons

Tuesday, September 13, 2011

VIJANA 16 WA GUINESS FOOTBALL CHALLENG E WAELEKE SOUTH AFRICA LEO


Vijana 16 waliopata nafasi ya kushiriki katika shindano la kuonyesha kipaji na uelewa wa mambo ya soka nchini, wakiwa katika pozi la pamoja muda mfupi kabla ya kukwea pipa kuelekea Afrika Kusini alfajiri ya leo.
Ambapo michuano hiyo imepangwa kufanyika katika Jijini la Johanesburg na mshindi wa kila wiki ataondoka na kitita cha dola 50,00 za Kimarekani ambazo ni zaidi ya sh. mil 75 za KitaTanzania.

0 comments: