Meneja wa Vodashop Mlimani city, Fatma Kalyanye akiwaelekeza warembo wa Vodacom Miss higher learning waliotembelea duka hilo namna ya kuweka nyaraka za kudumu za wateja wao wa M-pesa, warembo hao walitembelea makao makuu ya kampuni hiyo ikiwa ni moja ya hatua za kuelekea kilele cha shindano lao liatakalofanyika mwishoni mwa wiki mjini dodoma.
Mfanyakazi wa Vodashop Mlimani City, Jane Mrosso, akiwapa maelekezo ya matumizi ya simu mbalimbali baadhi ya warembo wa Vodacom Miss Higher learning walipotembelea duka hilo hapo jana, ikiwa ni hatua mojawapo ya kuelekea katika shindano lao linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha huduma kwa wateja, Hiramu Mungai,akitoa ufafanuzi wa jinsi ya kutoa huduma kwa wateja kwa Warembo wa Vodacom Miss higherlearning waliokuwa katika ziara ya kutembelea makao makuu ya kampuni hiyo.
Baadhi ya Warembo wa Vodacom Miss Higher learning waliotembelea Makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es salaam wakionyesha Cut Wolk ambapo shindano lao linatarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
PICHA: SUFIANIMAFOTOBLOGSPOT
PICHA: SUFIANIMAFOTOBLOGSPOT
0 comments:
Post a Comment