Mshambuliaji wa timu ya Azam Fc na Taifa Stars, Mrisho Ngassa (kulia) akiwania mpira na beki wa Manchester United, Rio Feldnand, wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa baina ya timu ya Seattle Sounders ya Marekani iliyomchezesha Ngassa kama mchezaji mwalikwa aliyecheza dakika 15 na kufanya mambo makubwa yaliyomvutia kila shabiki wa soka aliyekuwapo uwanjani hapo jana. Katika mchezo huo Manchester United ilishinda mabao 7-0. Picha na Mtandao wa Seattle Soundera Mrisho Ngassa akichuana kuwania mpira na Fabio wa Man U wakati wa mchezo huo uliochezwa jana.
Thursday, July 21, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment