MMILIKI wa Duka la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011, anatarajiwa kupatika kesho ndani ya Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, ambapo fainali za shindano hilo zitafanyikia.
Akizungumzia tukio hilo mapema leo, mkurugenzi wa shindano hilo, Asha Baraka, alisema kwamba, hadi sasa maandalizi ya ishu hiyo yameshakamilika na kinachosubiliwa hadi sasa ni siku na saa ya kuanza mpambano huo.
Asha Baraka, alisema kwamba, mpambano huo, utasindikizwa na Bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta Sugu Kisima cha Burudani' na Msanii wa miondoko ya Mduara kutoka Zanzibar AT.
Kiingilio katika onesho hilo, ni shilingi 10,000 viti vya kawaida na shilingi 15,000 kwa VIP, Shoo hiyo inatarajiwa kuanza majira ya saa 2:30 usiku hadi hapo mshindi atakapopatikana.

0 comments:
Post a Comment