Watoto wa Chalz Baba Jacqueline (kushoto), akiwa na mwenzake Carina Chalz, aliyetimiza umri wa miaka.
Mnenguaji wa Bendi ya African Stars Intenational 'Twanga Pepeta' Maria Soloma, akiwa bize na simu yake kwenye shughuli ya kutimiza miaka miwili Carina.
Mnenguaji wa Twanga Pepeta, Asha Sharapova, akiwa amempakata mtoto mkubwa wa Chalz Baba, Jack, kwenye sherehe hiyo.
Wasanii wa filamu Bongo, Kupa na Badra, wakiwa nje ya nyumba ilipofanyikia Birthday hiyo.
Baadhi ya wangeni waliohudhulia shughuli hiyo wakiangalia moja ya vyombo vya muziki mahali hapo.

0 comments:
Post a Comment