Waombolezaji wakiweka mwili wa mpendwa Danny Mwakiteleko kaburini kijijini kwao Ndala.
Mjane wa marehemu, Mwakiteleko, Winnie akiweka shada la maua katika kaburi la mumewe.
Watoto wa marehemu, Mwakiteleko, Vanesa (kulia) na Caroline wakiwa na huzuni wakati wa mazishi.
Baadhi ya wahariri na waombolezaji wengine wakilia kwa uchungu baada ya mwili wa aliyekuwa Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006), marehemu Danny Mwakiteleko kuwekwa kwenye nyumba yake ya milele, katika Kijiji cha Ndala, Mwakaleli, Tukuyu, mkoani, Mbeya jana.
Wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari, Mwani Nyangasa (mbele) na Hamisa Maganga, wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa boss wao.
0 comments:
Post a Comment