Social Icons

Tuesday, March 8, 2011

ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI KAGERA



Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizindua 'Private ward' katika hospitali teule ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera akiwa katika ziara ya mkoa huo jana. Kushoto ni Askofu wa Jimbo la Rulenge Severene Niwemugizi.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Masista baada ya kuwasili kwenye hospitali teule ya wilaya ya Bihaharamulo kuzindua 'Private ward' akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera jana.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Severene Niwemugizi wa jimbo la Rulenge (kushoto) na watawa wa jimbo hilo baada ya kufungua Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Clara iliyopo eneo la Rukaragata Biharamulo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera.
Baadhi ya wananchi wa Biharamulo wakiwa wamejipanga kumuuliza maswali Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Biharamlo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera jana.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments: