Beki wa Yanga, Chacha Marwa (kulia) na kiungo wa timu hiyo, Godfrey Bonny, wakipasha misuli.
KIKOSI cha timu ya Yanga jana asubuhi kilinaswa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kikijifua kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wa Jumamosi dhidi ya JKT Ruvu.
Mchua misuli wa Yanga, Jacob Onyango (kushoto), akimchua misuli beki wa Yanga, Fred Mbuna.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
0 comments:
Post a Comment