Social Icons

Thursday, March 10, 2011

WAKAZI WA DAR WAJITOKEZA KUPIMA FIGO

Bango lenye ujumbe wa Siku ya Afya ya Figo Duniani likiwa sehemu ya kuingilia viwanja hivyo.
WAKAZI wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kupima figo zao katika kuadhimisha Siku ya Afya ya Figo Duniani ambayo kilele chake ni leo.



Sehemu ya wakazi wa jiji waliojitokeza kupima afya zao wakisubiri maelekezo sehemu ya mapokezi.

Baadhi ya waliojitokeza kupima afya zao wakijipumzisha wakati wakisubiri majibu ya afya zao.



PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

0 comments: