KUNDI la Makhirikhiri kutoka Botswana ambalo hupiga muziki wa kiasili wa nchi hiyo, lipo jijini tangu Jumatano ambapo jana usiku lilifanya onyesho lake la pili katika ukumbi wa Rufita uliopo Segerea, Tabata.
Shabiki ambaye jina lake halikuweza kupatikana akimtuza fedha mmoja wa wanamuziki hao.
Mashabiki waliofurika ukumbini hapo wakisalimiana na wanamuziki hao.
0 comments:
Post a Comment