Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anna Makinda, akimkaribisha Balozi wa Uturiki nchini Tanzania Dk. Sander Gurbuz alipomtembelea ofisini leo jijini Dar es Salaam.
Balozi Gurbuz akimshukuru mwenyeji wake kwa mapokezi mazuri.
Kushoto ni Katibu wa Spika Ndg. Herman Berege.
Mhe. Makinda akipokea taarifa rasmi ya ziara ya Spika wa Bunge la Uturuki atakayoifanya hapa nchini mwanzoni mwa mwaka kesho.
0 comments:
Post a Comment