Social Icons

Monday, November 8, 2010

THEA, MIKE WAFUNGA PINGU ZA MAISHA

Thea akimvisha pete Mike tayari kwa safari ya maisha mapya.

Padri akimhapaisha Thea muda mfupi kabla ya kuvishana pete.



Mike na Thea wakisikiliza kwa makini baadhi ya maombi kanisani hapo.

Thea akijisevia msosi kwenye sherehe iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Florida Masaki jijini Dar es Salaam.

Thea akiwa ameshikilia msosi tayari kwa mlo wa usiku.

Mike (kushoto) akiwa ameshikilia sahani ya chakula, wakielekea mezani na mkewe.

Thea na Mike wakigawana nyama.

Baadhi ya wasanii wa filamu nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na maharusi hao ndani ya ukumbi wa Florida Masaki Dar.


0 comments: