JK akimkabidhi Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda bahasha yenye jina la anayetarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania muda mfupi ujao.Tuesday, November 16, 2010
SPIKA WA BUNGE AKABIDHIWA RASMI BAHASHA YENYE JINA LA ANAYETARAJIWA KUWA WAZIRI MKUU
JK akimkabidhi Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda bahasha yenye jina la anayetarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania muda mfupi ujao.
Labels:
www.mateja20.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment