Social Icons

Sunday, November 7, 2010

CHEKI SWAGGER ZA FLAVA NITE AT MZALENDO PUB

Jose Mara muimbaji wa bendi ya FM Academia (kulia)akiwa na mdau wake ukumbini hapo.
Wazeey wa Flava Night wakionyesha Sugger zao.
Taji Liundi (mwenye miwani kulia)akiwa na wadau Mzalendo Pub.
Mambo ya Night Flava Baaanaa!!!
Unazisoma Swagger hizi Mdau?
Yaani ni Freeeshiii.
Kama wa Free mason hivi.....
DJ Bulla (kulia) akiwa kwenye pozi na wana!!!!!!!!!!
Mshikaji aliacha mitambo na kuunda Swagger kama hivi baaanaaaaaaaaa




Ukiwa kwenye Flava Night vijimambo kama hivi kawaida tu hasa linapokuja suala la pozi baaaaanaaa...
Unaona baaaanaaaa.


Nao walisomeka kama hivi.............

Wadau wakivunja ukimya pande hizo baaanaaa


Ilikuwa ni shughuli pevu mahali hapo baaanaaaaaa
Wadau waliruka kwanja mpaka majogoo.

Picha:Mtaa kwa mtaa blog...

0 comments: