Social Icons

Tuesday, October 26, 2010

JOKETI ADAIWA KUMFUATA HASHEEM MAREKANI

Kuna habari ambazo zimevuja katika website moja inayokwenda kwa jina la www.u-turn.co.tz kwamba Miss Joketi Mwegelo amemfuata Hasheem marekani na kuishi nae. Habari yenyewe iliandika hivi
Golden boy Hasheem thabeet yuko deep in love na binti wa kibongo. Mapenzi hayo yalianza mienzi michache iliyopita hasheem alIvyokuwa dare s salaam, Kwa macho yangu nilikuwa nikimuona huyo demu( ambae aliwahi kuwa miss Tanzania number 2 miaka michache iliyipota)
Akiwa na hasheem kwenye kiwanja cha basketball cha mlimani, yani demu alikuwaga anamsubiri hasheem hapo basketball court karibia kila siku . Na kwa sasa dada huyo yupo Memphis,Marekani akiishi kama mke na mume na Hasheem Thabeet.Nimeipenda sana couple yao sababu inaonekana ni mapenzi ya kweli,Hasheem katulia sana kwa sasa haoni wala hasikii juu ya huyo binti na binti na yeye kaacha shughuli zake bongo kamfata jamaa marekani,binti pia ni msomi ndio kamaliza university mwaka huu,alikuwa anasomea sheria pale mlimani.
Hasheem alinicheki kwenye simu usiku wa kuamkia leo na kuniambia kuwa huyu mtu anayemiliki hiyo website ni muongo kabisa. Namnukuu Hasheem
"Joketi ndio ni rafiki yangu tokea nikiwa Bongo ila kwa sasa hata mimi nasikia yuko Marekani so siishi nae wala nini hizi ni habari za kizushi
Habari kwa hisani ya Bongo Star Link blog...

0 comments: