Social Icons

Thursday, September 30, 2010

JULLIET ATUA NA TAJI LA MISS CONGRESS INTERNATIONAL

Jullieth (kushoto) baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA).


Akisali pamoja na familia yake.


Akiongea na wanahabari.




Akimkabidhi bendera aliyokwenda nayo Afisa Habari wa Bodi ya Utalii nchini Miss Immaculate.


Jullieth akiwa kwenye pozi na mama yake mzazi aitwae Rosemary Thadei.

Akiwa na Mkurugenzi wa mashindano hayo hapa nchini, Beatus Kaboja wa kampuni ya Syscorp Managements.

MREMBO Jullieth William, aliyekwenda kupeperusha bendera ya Tanzania nchini Itary, kupitia shindano la Miss Congres Internatinal lililofanyika Ijumaa iliyopita na kufanikwa kutwaa taji hilo kwa kuwa mshindi wa kwanza, leo amewasili hapa nchini na kuikabidhi bendera ya taifa kwa serikali.



0 comments: