Social Icons

Tuesday, September 14, 2010

AUNTY EZEKIEL ATINGA KWA MAMA JESSCA

Aunty akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafamilia hiyo.
Namna hiyo.....
Mama mwenye mji.
Aunty akiwa na mama Jessica kulia na mdogo wake.
hapa akipiga stori na wenyeji wake.
Aunty........
Mambo yalikuwa hivi...
Mapozi yalikuwepo.
Kama modol
Ebwana Eeeh!
Kama mwanaye vilee...
katika pozi.
Queen from Film industry, Aunty Ezekiel Jujuman, Idd pili ya mwaka huu, alipata mwaliko wa ghafla pande za Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa amearikwa na shabiki mkubwa wa kazi zake za filamu Mama Jessica. Aunty alifika nyumbani kwa mama Jessica majira ya saa2 usiku na kukaribishwa kwa shangwe za kutosha kutoka kwa watoto wa mama huyo ambao walikuwa wakimshuhudia mara nyingi kupitia movie zake na kumsoma katika magazeti, akiwa pale Aunty alipata frusa ya kubadilishana mawazo na familia hiyo ambayo muda wote ilikuwa na furaha ya kutembelewa na Queen huyo.

0 comments: