Monday, November 7, 2011
Saturday, November 5, 2011
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) Mtemi Ramadhani akimkabidhi Chimwemwe Birry medani katika halfa ya kufunga mafunzo ya kimataifa ya michezo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Rashidatu Kamara akionyesha cheti alichokadhibiwa baada ya mafunzo ya soka ya kimataifa iliyofungwa rasmi jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) Mtemi Ramadhani akimkabidhi Chimwemwe Birry medani katika halfa ya kufunga mafunzo ya kimataifa ya michezo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kocha wa shule ya soka wa klabu ya Manchester United Billy Miller akimkabidhi Selemani Bofu cheti wakati wa halfa ya kufunga mashindano hayo iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Selemani Bofu akipongezwa na makocha kutoka klabu ya Manchester United baada ya kuwa mfungaji bora wakati wa mazoezi ya kufunga, katikati ni Paul Bright na kushoto Billy Miller. Thursday, November 3, 2011
Mariam Zizi(kulia), akimrishe keki kwa kinywa chake mdogo wake ambaye ni pia miss Kurasini namba mbili 2011, Naifat Ally katika shere yake ya kuzaliwa.JUZIKA mdau wa Mateja20, Mariam Azizi alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ndani ya Pub ya Cabocabana iliyopo Kinondoni B jijini Dar es Salaam, ambapo ilihudhuliwa na ndugu na jamaa zake wa karibu, sherehe hiyo ilifana vilivyo kwani watu walikula na kupombeka kwa kwenda mbele.
Mariam akimrisha keki Sada Misene.
... akimrisha shostito wake.
Keki yenye umbo la mdomo wa mtu ikiwa mezani tayari kwa mlo wa Birthday hiyo.
Miss Temeke namba tatu 2003, Mariam Omary (kushoto), akirishwa keki kwenye Birthday hiyo.
Uncle Deo naye anibugizwa kipande cha keki hiyo.
... Hassani Moshi naye ali... keki hiyo.
Mwanamuziki wa Top Band Omar Dimpoz akilambishwa kipande cha keki hiyo.
.... kweli tamuuuuuuuuuu
Mateja naye alisikilizia radha kamili ya keki hiyo.
Eeeeh! ....
Gadner ... roho ya Mariam .... akisikilizia.
Mariam & Mariam katika pozi.
...... nasiye tuilikuwepo!!!!
Kitu cha keki bhanaaaaaaa!
Omar akipozi na mtoto Mariam Bara....
Gadner katika pozi
Uncle Deo akiserebuka na miss Kurasini.
... kitu cha keki bhanaaa
Kama kawaida sehem kama hizi watu kama hawa huwa hawakosi!!!
Mambo ya misosi
Sada & Mariam
Eeeh ... tulijiachia!!
Pozi ni kama kawa sehem hizi!
Aaah!!!!! Uncle....!
Mambo ya ...
Gadner & Mariam Azizi
Wadau wakikamua katika sherehe hiyo.
Gadner & Mariam





Wednesday, November 2, 2011
MSWAADA WA KATIBA WAZIDI KUBORESHWA
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kulia) akitoa ushauri wa kitaalamu na uzoefu kwenye Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Katiba ya Mwaka 2011
Baadhi ya wataalam kutoka vyombo vya Ulinzi wakiwa katika kikao hicho.
Wajumbe na wataalam mbalimbali wa Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala, Kamati ya Mashirika ya Umma, Kamati ya Fedha za Serikali za Mitaa na Kamati ya Hesabu za Srikali wakiwa katika mijadala mikali.

MKOA WA KINONDONI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM
Tamko la katibu wa mkoa wa Kinondoni Kanda Maalum ya Dar es salaam
Ndugu zangu wanahabari,
Nimewaita hapa leo kwa lengo la kuwapa watanzania msimamamo wangu na wa chama ngazi ya mkoa kuhusu tukio la kukamatwa na kupelekwa magereza kwa Mhe. Godbless Lema Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini.
Imekuwa ikizoeleka kwa muda mrefu sasa kwamba waheshimiwa wabunge wa CHADEMA na wale wanaaotokana na vyama vya upinzani wamekuwa wakinyanyaswa sana kwa lengo la kuwafanya wajute kuingia katika siasa za upinzani Tanzania.
Hii kwa…
