Social Icons

Thursday, August 12, 2010

HAPY BIRTHDAY MARIAM

Miss Temeke 2003-04 Mariam Omari juzikati alisherekea siku ya kuzaliwa kwake 'Birthday' akitimiza umri wa miaka 27,sherehe hizo zilifanyika nyumbani kwake Magomeni Moroco jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na mastaa kibao wa hapa nchini.

Hii ndiyo Keki iliyotumika kujiramba!!!!


Mariam akikata Keki tayari kwa kuwarambisha wageni wake.
Asha Saidi 'Sharapovoa' (mbele) akiwa amekumbatiwa muda mfupi baada ya kurishwa keki. Miss Temeke na Shostito wake
Mcheza shoo wa Twanga Abdulah Willis 'Zungu' akijipoza .... kwa mchumba wake mara baada ya kula Keki.
Mwanamuziki wa Machozi Bendi (wa kwanza kushoto) akimshangaa Silvia muda mfupi baada ya kumnywesha Shampeni.Muandaaji wa Sherehe hiyo akiwa kwenye ya pozi na Rafiki yake mara baada ya kumrisha keki
Jannifer Kyaka 'Odama' (kushoto) akirishwa keki na Mariam
Zamda Salim (kulia) ... hakuwa nyuma kuishamburia keki hiyo
Odama akionyesha keki yake muda mfupi baada ya kuisikilizia utamu
Mrembo na pozi la kula Keki

Mwanamuziki wa Top Bendi Arawi Junior (nyuma) akijijaribishia ka' staili ....kwa mwenyeji wake

Wednesday, August 11, 2010

NATURE, KIBA, ALADJI NA NGWEA WAFUNIKA CLOUDS TV, MTV BASE PARTY


Juma Nature akifanya makamuzi kama kawaida yake awapo jukwaani wakati wa uzinduzi wa ushirikiano kati ya Clouds TV na MTV Base uliyofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa MUCH MORE

Nature akiwa kivutio kwa kila aliyehudhuria onesho hilo

...Nature aliwapagawisha mastaa kibao akiwemo Gadner, Madam Rita na Master Jay

Mkali wa hip Hop..ngwea akifanya makamuzi yake
Ali Kiba naye hukuwa nyuma kuburudisha ishu hiyo.

...walishindwa kujizuia kujiachia

'Mzee wa Aladji' Dj Ramoutuley akiwa na dancers wake wakicheza wimbo maarufu wa Aladji

...mambo ya Aladji mpaka chini


CODERED DJs kutoka Kenya: DJ Porgie (kushoto) na Stylez wakifanya vitu vyao
Fide naye hakusita kuonesha manjonjo yake

Madam Rita akishoo Luv na vijana wake...Ali Kiba na Nature (kushoto)


Muosha naye huoshwa!! mpiga Picha maarufu Raqey akiwa na wife

wadau wakifuatilia mpango mzima
Mkurugenzi wa Clouds Entretaiment, Jose Kusaga (kulia) akiwa na Commercial Manager wa MTV, Paul Mayanja mara baada ya uzinduzi rasmi.







BSS 2010 YAPAMBA MOTO COCO BEACH


ULE mchakato wa kutafuta vijana wenye kipaji cha kuimba, Bongo Star Search 2010, leo umezidi kupamba moto katika fukwe za Coco Beach jijini Dar es Salaam ambapo washiriki zaidi ya 1,200 wamehudhuria mchujo huo.

Akiongea na mwandishi wa mtandao huu, Mkurugenzi wa mashindano hayo, Rita Paulsen, alisema kwamba usaili huo ulianza na washiriki 600 tangu Agosti 10 mwaka katika fukwe hizo. Kufikia leo wana idadi ya washiriki 1,200 na baadhi yao wameshaanza kuchujwa tayari kwa kutafutwa washindi ishirini watakaoingia hatua ya kwanza, kabla ya kuchujwa tena mwishoni mwa wiki hii ambapo watapatikana 10 au 18 watakaoingia kambini tayari kwa kuchuana na waliopatikana mikoani.


Kushoto ni mmoja wa washiriki wa kinyang’anyiro hicho mwenye namba BSS 1046 akiandikisha jina lake tayari kwa usaili, na kulia ni mratibu wa mchakato huo akiandika jina la mshiriki huyo.


Baadhi ya washiriki wakiwa wamepozi tayari kwa kusubiria zoezi hilo.


Washiriki wa zoezi hilo wakiwa kwenye foleni wakati wa kuandikisha majina.


Mshiriki namba 1042 “akichana mistari” ndani ya chumba cha usaili.


Baby Jacob mwenye namba 1043 akionyesha mbwemwe zake kwa majaji.


Jopo la majaji likiongozwa na Rita (katikati) na kushoto kwake ni Master J na mwisho kushoto ni mmoja wa majaji hao.