WAKAZI wa jiji la Dar es Salaam waliosomea mikoa ya kusini wanatarajia kufanya tamasha kubwa hapa jijini kwa lengo la kuinua elimu mkoani humo. Msemaji wa tamasha hilo, Asanterabbi Mtaki amesema tamasha hilo litafanyika katikati ya mwezi Julai mwaka huu ambapo mahali litakapofanyika watatangaza baadaye.
No comments:
Post a Comment