Mwanamuziki wa kizazi kipya Naseeb Abdull 'Diamod' hivi karibuni anatarajia kushuka kwenye Runinga mbalimbali na Video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'NITALEJEA',
Akichonga na Mateja20 alisema kuwa "Ukiona kiza kinazidi sana ujue karibu kunapambazuka" na sasa kumekucha!.. huu ni mzigo ambo mamilion ya watu ulimwenguni kote wameusubiria saana "NITAREJEA" na sasa Video iko tayari, stay tuned MziGo unadondoka soon...! alisema Diamond ambaye hivi karibuni amekuwa akitesa na Video ya wimbo wa Mbagala.
No comments:
Post a Comment