Pages

Friday, May 21, 2010

ETI! HII SAWA KWA MASHOSTITO?


Kimwana Manywere namba mbili 2006/07 Husna Idd ‘Sajenti’ walipatikana wakirishana keki kwa mdomo na shostito kipenzi wake Baby ilikuwa siku ya Birthday ya Baby iliyofuanyika maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment